mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mimi ni kijana wa miaka 20
Nina uzoefu wa miaka miwili katika uuzaji wa duka la vito vya thamani
Natafuta ajira yoyote yenye kufanana na hiyo au ya stationary.
Ninaishi kigogo na ni mtanzania halisi
Asanteni
Nina uzoefu wa miaka miwili katika uuzaji wa duka la vito vya thamani
Natafuta ajira yoyote yenye kufanana na hiyo au ya stationary.
Ninaishi kigogo na ni mtanzania halisi
Asanteni