Natafuta kazi

Natafuta kazi

walitola

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
4,832
Reaction score
5,632
Nina digrii ya uhasibu(Accountancy) kwa mwenye kuweza kunisaidia tafadhali.
 
unataka usaidiwe nn sasa mbona hauko specific!? hivi hata kama tukikuita kwenye kampuni yetu kwa ajili ya kujielezea utaweza kweli?
 
Mkuu sory kwa kuto kunielewa ila natafuta kaz mkuu kama unaweza nisaidia kwa njia yoyote tafadhali nisaidie.
 
Nakushauri kama ni mkristo omba kazi za uhasibu katika taasisi za ki dini utapata
 
Ndio mkuu mimi mkristu ila kama wapi uko ambako ntapata iyo kazi ya kiasibu
 
Wabongo wengi kweli wamesoma lakn bado hawajaelimika! Umeshauriwa nenda taasis za kidini bado unauliza wapi tena? Basi nenda mashule ya watu binafsi! Ukikosa na huko, kabla hujauliza kwingine, nenda BAR ukawe meneja! Hapo kupitia wateja wako(wagidaji) utapata michongo yote ya maisha!
 
Aende BAR gani sasa embu mpe maelezo zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom