Natafuta kazi wanajamvi, elimu yangu form six nipo maeneo ya Kimara Dar es salaam. Mawasiliano yangu 0759720291
kiwanda cha bakhresa pale tazara kila siku wanataka watu, lakn ndo hadi upelekwe na mtu, halafu pia ni kazi za vibarua kwa wiki wanatoa 55,000, ila inabidi uwe na laki ya kuhonga