Lucy Mbasha
Member
- Jul 14, 2014
- 6
- 1
weee acha maswali mengi unaweza kweli kumsaidia na si kumchanganyia lugha weee vip?Uko wapi na umemaliza iyo Diploma toka chuo kipi na kwa gpa ipi pia? Are u sure uko ready kufanya kazi bila malipo except posho ndogondogo kama nauli na matibabu?
Uko wapi na umemaliza iyo Diploma toka chuo kipi na kwa gpa ipi pia? Are u sure uko ready kufanya kazi bila malipo except posho ndogondogo kama nauli na matibabu?
Uko wapi na umemaliza iyo Diploma toka chuo kipi na kwa gpa ipi pia? Are u sure uko ready kufanya kazi bila malipo except posho ndogondogo kama nauli na matibabu?
nipo Dar Es Salaam
wewe ndio mdogo wake flora mbasha uliyeba.........??
watu bwana hapo ndo inahusiana vip na ombi lake la kazi?wewe ndio mdogo wake flora mbasha uliyeba.........??
sawa tu kaka. niunganishieSehemu ya kujitolea zipo sana2 lakini hupewi chochote hata posho hamna