Kama una laptop au desktop tafuta eneo lolote la kuweza kuweka meza simple kwenye sehemu zenye watu wengi weka tangazo unaingiza nyimbo ,antivirus na software installation utatoka ukiwa serious vinaonekana vitu vya kizembe ila vinalipa kaka jaribu hilo bro