mashauri mashala
Member
- Apr 26, 2014
- 10
- 0
Jaman ninatafuta kaz inayohusiana na mambo ya tax niko tayar kufanya mahali popote
Je kuendesha taxi utaweza?
Jaman ninatafuta kaz inayohusiana na mambo ya tax niko tayar kufanya mahali popote
Jaman ninatafuta kaz inayohusiana na mambo ya tax niko tayar kufanya mahali popote
Elimu yako bado ndogo, huwezi pata kazi. Ushauri, rudi darasani.
muda mwingine unatakiwa kuwa makini na majibu yako, shahada ya kwanza bado unasema ni ndogo, ni kweli ni ndogo, lakini kwa kuanzia siyo mbaya na kuna watu hapo ndiyo wamegota hawafikirii kuongeza, hvy anavyokuja mtu kama huyu mchukulie kama ndugu yako wa damu huwezi kumpa jibu kama hilo na isitoshe wewe hujafika hapo.
amesha kwambia ni tax manegement, ataimenage hiyo tax to mkuu, we mwajiliA'seeeeeee!!