Natafuta Kazi...

Natafuta Kazi...

furaha88

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
27
Reaction score
8
Na diploma ya marketing hali ni mbaya jamani kazi yoyote nafanya ilimradi nisivunje sheria ya nchi Mwenyekibarua yeyote ani pm hata temporary nakoelekea nahisi kuwa omba omba barabarani
 
kaka usikate tamaa. endelea ku apply na kutafuta kwa nguvu.
Msomi huwa anateseka lakini ipo siku atapata
 
Na diploma ya marketing hali ni mbaya jamani kazi yoyote nafanya ilimradi nisivunje sheria ya nchi Mwenyekibarua yeyote ani pm hata temporary nakoelekea nahisi kuwa omba omba barabarani

Kama unaweza kufundisha sekondari wacheki hao jamaa wa teachers junction watakusaidia mkuu no yao 0753810857.
 
Back
Top Bottom