chikaputula
Member
- Jan 21, 2014
- 28
- 3
Wakuu, nina diploma ya uhasibu, niliwahi kufanya kazi katika SACCO moja huko jijini mbeya kama teller, front office personel na loan officer ila kutokana na sababu za kifamilia zilizoshindwa kuzuilika kwa wakati huo nikasimama kufanya kazi.
Nina ujuzi na uzoefu pia katika,
.ms word
.ms excel
.electronical communications n.k
Ninaweza kufanya kazi popote Tanzania.
Hivyo basi nawaomba wadau mwenye uwezo/mwenye kazi ya uhasibu au inayofanana nayo anisaidie.
Nina hamu ya dhati ya kufanya kazi ila nategemea sana msaada wenu wakuu.
Nawasilisha.