Natafuta kazi

Jamaa unachukulia kama kutafuta kazi simple kihivyo. Watu wana elimu kama yako na wanatafuta Volunteer bado wanakosa.
Ebu jaribu kujiweka adharani ili kila atakae ona asijiulize maswali mara mbili.
 
Natafuta kazi.ni mhitimu wa chuo cha ushirika moshi katka ngaz ya degree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…