"Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye akili timamu. Ninapatikana mkoa wa ****. Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi, niweze kujikimu mimi pamoja na ndugu zangu. Nina leseni ya udereva ya madaraja A, A2, B na D. Mawasiliano yangu ni: *******. Asanteni.