natafuta kazi

Hujasema unatafut akazi gani!?

Wewe una sifa gani/zipi?

Unapenda kufany akazi wapi/unatafuta wapi?

Field gani? Una uzoefu?

.....Anyway, mie siwezi kusaidia lakini naona ukiweka hayo wazi unaongeza wigo wa kusaidiwa!

Kila la kheri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…