Natafuta kazi

Natafuta kazi

Bwin

Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Wakuu sisi tusio na degree inakuwa shida sana kupata ajira. Mimi nina diploma ya utawala na pia ni certified hospitality supervisor. Nimefanya kazi kwenye hotel ya nyota nne kwa miaka saba kw upande wa rooms manangement and credit controlling na baadae nikahamia kwenye utawala na usimamizi wa kazi za barabara nikiwa na mabosi wazungu na asians kwa miaka mitano.

Natafuta ajira hata kama ni udereva japo natafuta udereva wa kumuendesha mzungu au mtanzania mwenye asili hiyo (kitabia). Jinsia yangu ni ya kiume nikiwa na miaka 33.
Msaada wenu jamani nisije kufa njaa. napatikana Dar lakini hata mikoani naweza kupiga mzigo.
Niwashukuru in advance
 
Back
Top Bottom