Natafuta kazi

Natafuta kazi

Joined
May 31, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Mimi naitwa Issack Julius Natafuta temporary work ya ualimu kilimanjaro masomo ni KISWAHILI na HISTORY nimuhitimu wa Diploma kutoka chuo cha ualimu Korogwe for more contact wasiliana nami 0769550822 au scober80@ovi.com
 
kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana.
 
kwa hayo masomo yako sidhani kama utapata nafasi make walimu wa arts wamejaa,kwanini ulikimbia masomo ya sayansi? pole sana.
acha kumkatisha tamaa mwenzako ww walimu wanahtajka kila kona ht akikosa tempo atapangiwa kaz n serikal.
 
Back
Top Bottom