Natafuta kazi

Amoury94

Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
89
Reaction score
37
Mie ni kijana nilie maliza 4m4 mwaka jana sasa nimefaulu nimepata division 3 ya 23 nilikua mchepuo wa science nina C 5 sina F, ila sina pesa ya kujiendeleza nina miaka 19 kazi yeyote ile ila iwe ya kibinadam kwani naishi mie mama yangu ni pamoja na wadogo zangu wa 4 kwani baba alisha fariki tangu 2007 alie kuatayari kuniajiri number 0714329063 naishi Dar es salaam
 
Mkuu, kwanza hongera kwa kufaulu. Mimi nakushauri soma kwanza kwa maana matokeo yako ni mazuri hivyo huwezi kukosa Post, pia ukipata post omba barua kutoka Serikali ya Mtaa wako ili ulipiwe kila kitu na Serikali. Mungu atakujalia kwa maana hizo kazi zenyewe hata kama ni Professional bado ni ngumu hivyo usikubali kupoteza hiyo nafasi ya kwenda Advance Level.
 
HONGERA SANA KWA KUFAURU, NAKUSHAURI UENDELEE KUSUBILI POST ZA 4M 5 GOVT AU UJAZEE NAFASI ZA POLISI AU JESHI LOLOTE KAMA ZIKITOKA:yo:
 

hongera kwa kufauli kama utahijitaji kazi ila msahara ni elfu sitini ila unakula hapo hapo na kulala hapo hapo kama utahitaji ni pm
 
Hongera kwa kufaulu,Jitume wajibika Mungu-mwenyezi atakusaidia katika mahitaji yako.
 
hongera kwa kufauli kama utahijitaji kazi ila msahara ni elfu sitini ila unakula hapo hapo na kulala hapo hapo kama utahitaji ni pm
napata wasiwasi na ID yako
 
hongera kwa kufauli kama utahijitaji kazi ila msahara ni elfu sitini ila unakula hapo hapo na kulala hapo hapo kama utahitaji ni pm

Sawa ila napenda kufahamu ni kazi gani?
 
Achana na nawazo ya kutafuta kazi kwa sasa,tumia nafasi hiyo kwa ss kutafuta udhamini wa kwenda advanced level kama utakosa nafasi za serikali.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…