Ya baa vp waweza kufanya ni PM?
Ya baa vp waweza kufanya ni PM?
niko dar niko tayari kwa kazi yeyote ila sio ya ndani,na niko tayar kufanya sehemu yeyote,naomba ni PM mawasiliano nikutafute,Nashukuru sana.sasa wewe upo iringa, upo tayari kuja arusha? ukisema kazi yeyote unamaanisha hata kazi za ndani au? kama upo tayari niandikie nijue nitakusaidiaje, ila uwe tayari kuja na barua kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa unaokaa na cheti cha kuzaliwa au kitambulisho chochote.
Ya baa vp waweza kufanya ni PM?
niko dar niko tayari kwa kazi yeyote ila sio ya ndani,na niko tayar kufanya sehemu yeyote,naomba ni PM mawasiliano nikutafute,Nashukuru sana.
naombeni mnisaidie jamani maisha ni magumu sana,mimi ni msichana mwenye miaka22 Elimu yangu form four
Sio lazima uajiriwe. Jiajiri. Anza na kilo moja ya unga wa ngano, mafuta chupa, mkaa; tuseme tafuta Tshs. 5,000/= pika maandazi, uza. utapata mwanga wa nini kiendelee.
Utampa Mtaji?
Kama akiwa serious hawezi akakosa mtaji wa Tshs. 5,000/= toka kwa ndugu zake, jamaa, na hata marafiki. Akikwama ani pm tu si tatizo.
naombeni mnisaidie jamani maisha ni magumu sana,mimi ni msichana mwenye miaka22 Elimu yangu form four
Ni pm namba yako ya cm!
naombeni mnisaidie jamani maisha ni magumu sana,mimi ni msichana mwenye miaka22 Elimu yangu form four
labda udada wa ndani je upo tayari..
Sio lazima uajiriwe. Jiajiri. Anza na kilo moja ya unga wa ngano, mafuta chupa, mkaa; tuseme tafuta Tshs. 5,000/= pika maandazi, uza. utapata mwanga wa nini kiendelee.