Asante kwa ushauri,kiukweli sina kazi kabisa,naomba kwa yeyote anaeweza nsaidia katika hilo ntashukuru sanaAsante kwa taarifa, ila nadhani ungeomba ingeelewekw zaidi kuliko kueleza kuwa unatafuta kazi maana ni watu wengi sana hata walio na ajira bado wanatafuta kazi mpya.

Wapendwa habari zenu. Mimi nna shahada ya uhasibu,natafuta kazi yoyote mkoa wowote,ila isiwe tu ya kunidhalilisha.shukrani sana.
Last year mkuu!wapi wamaanisha mkoa au jina la chuo?Umemalza chuo lini na wapi?
ntalifanyia kazi swala hili pia,nashukuruusihofu utapata tu, ila wakati unatafuta jishikize hata kwenye kashule fulani, unapiga pindi unapata ya sabuni au vp?
Umemalza chuo lini na wapi?
hivi wewe ni unafanya research au?
Maana kila mtu anayetafuta kazi au kuvolunteer lazima umuulize amemaliza lini?na chuo gani?
hivi wewe ni unafanya research au?
Maana kila mtu anayetafuta kazi au kuvolunteer lazima umuulize amemaliza lini?na chuo gani?
una umri gani?
Juma aliwakuta denge juu ya mti,akawasalimia.
Hamjambo ndege 100?
Ndege wakamwambia sisi sio ndege 100,nusu yetu ukijumlisha na robo yetu pamoja na wewe ndo tutafika 100.
Je sisi tupo wangapi?