Nimeona umesema una ujuzi wa computer,seremala nk nk
Connect na watu wanaofanya KAZI hizo ukianzia maeneo ya karibu na unapoishi ambapo huhitaji nauli, utapata pa kuanzia na hapo ndipo utapanda pole pole.
Muhimu tengeneza network,
Ni vyema pia sababu imekuwa muwazi, humu pia wapo wataokusaidia utaje Mahali ulipo tu.