Habari wapendwa,heri ya sikukuu ya pasaka na Eid
Wakubwa shikamoni
Dada yenu,mdogo wenu NATAFUTA KAZI,
Elimu yangu kidato cha 4 tu pia ninao ujuzi wa uhudumu wa afya ngazi ya cheti, Ninaweza kukaa pharmacy/Duka la dawa/Ninaweza kuhudumu dispensary/kituo cha afya,
Ninaweza kufanya kazi as mtoa huduma ya kwanza (usalama mahali pa kazi )
Ninaishi Dar es salaam
Umri wangu ni miaka 25/26
Ninahitaji kazi yeyote ile iwe, Dukan,hotel,kufanya usafi, grocery,viwandani,kwenye mashirika,kampuni,kituo cha mafuta, Ninahitaji ambayo haivunji Sheri za Mungu na haivunji Sheria za nchi
NINAOMBA UKIUPATA UJUMBE HUU TAFADHALI USIPITE KIMYA KIMYA,
BASI HATA UNIOMBEE KWA MUNGU,
MAWASILIANO YANGU 0754088347
AHSANTENI SANA