Natafuta kazi

D-RICH

Member
Oct 17, 2022
33
63
Habari za mchana wanajamii.

Mimi ni mwanaume kiumri niko ktk early 30s. Nimemaliza college since miaka kadhaa iliyopita hivi, currently iam holding an empty BSps. Kiufupi sikuweza kupata kazi kutokana na changamoto ya kiafya kwa muda mrefu.

Kazi nayoweza kufanya kwa sàsa ni ishu za delivery au kama kuna mtu humu anaweza kunipa idea ya kufanya kazi za online nitashukuru. Lengo kubwa ni kupata amount Ili niweze kwenda kufanya matibabu.

Currently niko kanda ya ziwa.

Asanteni
 
pole kwa kuugua mkuu, Mungu mwenyezi akusaidie upate kupona, Hata kazi atakayokujalia, isiimalizwe mshahara na Matibabu. Yaani Upone kabisa jamaa.
 
Back
Top Bottom