Mussa Lucas
Member
- Jun 12, 2022
- 16
- 25
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.🥲kozi zingine hazinaga ajira ,,Kuna bandari ngapi nchini ?!
😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TES
Hamna nafasi za kazi ndo ukweli ,haukuambiwa utaajiriwa ukimaliza kozi flani😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.
Waone DP worldNaitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.
Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.
Namba yangu ni 0757804843
Poa mkuuWaone DP world
Alijibu kwa mihemko😅😅Unajuw ports ni hizi za kweny ukingo wa maji tu?...Basi clearing and forwarding hata boarders zote plus viwanja vya ndege anaweza kufanya kazi ....Hao wapo vizuri kweny ishu za forodha na mifumo kama TANCIS na TESWS.
Zipo nyingi SAWA ,ila zipo occupiedAcha kumkatisha tamaa kijana mwenzio, clearing & forwarding companies zipo nyingi
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:Naitwa Augustine Lucas, Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 25. Mzaliwa wa Mkoa wa Geita, nimhitimu katika Chuo Cha Bandari Dar Es Salaam, course niliosoma ni Clearing forwarding and port management,
Nina uzoefu katika masuala yote ya Port operations.
Nipo hapa natafuta kazi yoyote katika makampuni ya clearing Forwarding, shipping line, logistics. Nipo tayari kuanza kazi hata Leo hii, kwasasa nipo Dar es Salaam.
Namba yangu ni 0757804843