Natafuta kazi

Graxsam

Member
Sep 23, 2021
74
69
Wadau mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20 nipo mtaani kwa sasa sina kazi na maisha ndio jinsi yanavyoonekana mtaani hivyo ninaomba mwenye ana uwezo wa kunisaidia nipate kazi yoyote nitashukuru sana.

Elimu yangu ni kidato cha nne naishi tunduma songwe ila naweza kusafiri mkoa wowote kwaajili ya kazi naombeni msaada wenu hali ni ngumu mno.
 
Acha nmba yko ya simu tukutafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom