Natafuta kazi

Brightmoro

New Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
1
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa miaka 28 napatikana arusha mjini, Elimu yangu ni shahada ya utalii na mambo ya kale.

Naweza kazi za camps,Guides, uhifadhi, afisa masoko,Mails na intenary na kazi yeyote katika sector ya utalii naweza kufanya katika mazingira yeyote Faida nyingine niliyonayo mm nimefanikiwa kutembea katika maeneo mengi ya vivutio vya utalii Hapa Tanzania na Zanzibar.
 
Hiyo faida yakutembea Haina impact kwenye ajira. Kama ukikosa ajira unayotafuta, weka vyeti kwenye kabati Kisha ingia kutafuta vibarua tu.

Nina mwaka wa Tano huu tangu niingie kwenye ulingo wa kusaka tonge na Mambo still ni magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…