Mimi ni binti miaka 26
Nina elimu ya stashahada ya utunzaji fedha naishi Kibaha Pwani.
Nipo hapa kuomba ajira ndugu zangu nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote π§π»ββοΈπ
Kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali
Vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili
kuna kataasisi kamikopo kanatafta maafisa mikopo sema upo mbali
vigezo uwe na elimu kuanzia diploma na kuendelea na ujue kuendesha pikipiki na computer
kama utaweza fika chuo cha utumishi wa umma tabora tarehe 9 mwezi huu ufanyiwe usaili