Natafuta kazi

Natafuta kazi

Annah simbeye

Member
Joined
Sep 6, 2021
Posts
13
Reaction score
10
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
 
PharmTech miaka 2??Hukumaliza chuo au umesoma certificate..?Ungeweka na location ingependeza
 
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
Kuna group moja Facebook linaitwa duka la dawa muhimu wanaposti karibia kila siku nafasi ZA Kaz ingekuw vizur ungeli search
 
Ingia kwenye magroup ya ajira huwa wanatangaza ujaribu. Pili Pambana kivingine pia Ili maisha yasonge maana ujui lini utapa maana waajiri wanalinga
 
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu

Hello.
Anahitajika mtoa dawa, hata asiye na Addo.
Location-Morogoro mjini.
Anicheki 0758040702 /0714293013
 
Habarini wapendwa mimi ni bint mtanzania wa miaka 23, nimesoma pharmaceutical science miaka miwili pia nimefanya kazi ya sales and marketing katika kampuni ya East Africa Fruits kwa muda wa miezi kumi. Ninaomba connection ya kazi yoyote yenye mshahara angalau laki tatu
East Africa fruits mbona naskia wanalipa vizuri
 
Nadhani utakuwa umepata kazi,
Kila la heri phrm asst
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom