Habari kwa jina naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo,Dar es salaam natafuta kazi ni mwalimu wa level ya primary shule za English Medium nna daraja la III A masomo nayofundisha Mathematics ,social studies ,civic and moral class 1,2, 3-5,6 madarasa yote hayo nafundisha mawasiliano yawangu 0714954609 ntashukuru endapo nitafanikiwa