Jaribu pia united nations Mama, iliwahi kuwekwa humu ukumbini si muda mrefu sana uliopita jinsi ya kuomba kazi UN. siku hizi enviroment issues zina market zaidi nchi zilizoendela. Good luck and all the best
Kuajiliwa jua ni utumwa utalipwa mil 2 lakini utafanyishwa kazi za watu 10 utachoka.....mimi binafsi sifikirii kuajiliwa maana nataka niwe tajiri najua nikiajiliwa sitakuwa tajiri