Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mama, Oct 24, 2008.

 1. M

  Mama JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Natafuta kazi popote pale duniani.

  Nina ujuzi kwenye fani za Information management systems or environmental analyst.

  Natanguliza shukrani kwa yeyote atakayekuwa na information ya katika moja ya fani hizi.
   
 2. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2008
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,187
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Mama fikiria kiajiri mwenyewe zaidi kuliko kuajiriwa. Huu ni mtazamo wangu tuu.
   
 3. M

  Mama JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Nimekuwa nimejiajiri kwa muda sasa, naona mambo hapa hayaendi vizuri sana ndio nimeamua kutafuta kuajiriwa ili kuongeza kipato.
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Oct 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Nini kimekushinda katika kujiajiri mama ? Naweza kukushauri uwe muwazi tu
   
 5. M

  Mama JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Ni mambo mengi lakini cha kwanza ni mtaji (am talking this sincerely, don't let the kidding story around, okay)
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Oct 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  mtaji wa kwanza uliupata wapi ? kwanini usifanye ecommerce , nyingi zao hazihitaji mtaji mkubwa au hazihitaji kapisa ni wewe ujuzi wako na utaalamu wako wa ziada kuliko hiyo ?

  kwani kampuni uliyoanzisha ulikuwa unafanya nini ?
   
 7. M

  Mama JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Mtaji wa kwanza ulitokana na kipato changu mwenye ambcho naona kimeshuka.

  Natafuta kazi ya kuajiriwa.
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kuna wengine wanatafuta kuajiriwa japo wana andaa shughuli nyingine binafsi pembeni - just a thought kwa faida ya wengine.

  Niliwahi kumwambia mtu kama ulivyosema, akaniambia, "you already have it, your brain is the only capital you need". If hard cash is the obstacle, put it aside - out of the way!

  Wish you all the best mama!  .
   
 9. M

  Mama JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Mtaji in the sense thatb I have to pay the employees, I have to pay rent for the office space, wachia mbali kodi. Na shughuli ninayofanya sio kwamba mzigo unatoka kirahisi rahisi kam duka au boutique. Its more of the brain work. The fact is when I am employed, mshahara wangu toka ofisini utapungua so itapunguza expenditure na kufanya shughuli isiyumbe.
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2008
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mama,
  umeshajaribu kutuma CV yako kwa employment agencies? Kutegemeana na ulipo..unaweza kujaribu kuwasiliana na e.g Manpower Services na wengine....PM me for more info.
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Hao niliambiwa eti ni matapeli, nisipeleke CV yangu huko inaweza tumiwa kumpatie kazi mtu mwingine mwenye jina.
   
 12. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #12
  Oct 24, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  na maranyingi unaweza kupata kazi ukalazimika kutafuta pesa kidogo kwa ajili yao kama huna basi yule mwenye nayo ndio anaipata kwa taarifa yako
   
 13. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  You don't have the money, that is fair enough. Options/alternatives zipo ili upige hatua.

  Kufanikiwa kwenye shughuli yako binafsi, ambayo una imani kwamba unaiweza, na una mapenzi makubwa sana ya kile unachotaka kufanya - mtaji wa fedha si lazima uwe ndani ya equation.

  .
   
 14. M

  Mama JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  asante lazy

  Je ninafanya makosa kutafuta kazi? niendelee tu na shughuli ya kujiajiri?
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  LazyDog, she's been there already dude.... siyo kwamba ndiyo amemaliza Masters or PhD yake tu na ndiyo anaingia ingia kwenye job market.... NO. BEEN THERE DONE THAT! She's MAMA.......................MA---MA, can you say it?.....................MA'---MA!!!! Good boy, now pls try that again !!!! :):)  .......you knew i was gonna hit you back hard..... one! lol
   
 16. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Kuhusu hilo, sidhani kwamba unafanya kosa. Baada ya muda, hiyo ya kuajiriwa utaweza kabisa kuifanya ikawa ndiyo part-time job; ukaendelea nayo hata baada ya kufanikiwa kwenye shughuli yako binafsi.
  .
   
 17. M

  Mama JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Asante. Na ndio lengo langu hasa.
   
 18. M

  Mutu JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hello Mama!

  Unaweza kupata kazi kweli sehemu yeyote duniani .
  Kuna site hizi vitakusaidia hasa kwa ukanda wa USA.

  CareerBuilder.com Jobs - The Largest Job Search, Employment & Careers Site
  This is the best ,i guess.

  Find Jobs. Build a Better Career. Find Your Calling. | Monster.com
  Hii nzuri pia

  career job employment examples of at enviromentalcareer.com
  hii kwa kazi za mazingira hasa

  Katika hizi nilizokupa site ambazo zote ni free ,unaweza kusearch kazi unayotaka at specific place and specific career level etc.
  Pia unaweza kuweka CV/resume yako ni mambo nafasi unayotaka na sehemu mbalimbali ,once inapopatikana automatic agent anakutumia email kwamba uende kwenye web site kuna nafasi za kazi kama unazotaka na mahali unakota.

  Nakutakia mafanikio mema,na hakika utapata unachotafuta Mama.
  Wako,
  Mutu

  NB
  Kama unatafuta kufanya USA waajili wengi hawako tayari kufungua kurasa kumi za CV (ambayo wanaita Resume ) .Jobseeker wengi wanakuwa na resume ya one page na pia specific resume for specific job application.
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,649
  Likes Received: 82,379
  Trophy Points: 280
  Hufanyi makosa mama, lakini kutegemea na upande gani wa dunia unaishi, ajira sasa hivi zimekua ngumu kidogo na hali inaweza kuwa mbaya zaidi maana kama unavyoona hali ya uchumi wa dunia nzima inatetereka kwa kasi ya ajabu na baadhi ya waajiri wameshaanza kupunguza wafanyakazi kwa maelfu. Hivyo hilo pia ulitilie maanani katika kutafuta kwako kazi. Kila la heri.
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Binafsi sihitaji kuuliza upo wapi na ni shughuli gani ulikuwa unafanya,lakini kwangu naona ni vizuri ukaangalia altenative ya shughuli uliyokuwa unajiajiri.....si vizuri kufikiria kuajiliwa jaribu kubadili biashara uliyokuwa unafanya.....

  Kuajiliwa jua ni utumwa utalipwa mil 2 lakini utafanyishwa kazi za watu 10 utachoka.....mimi binafsi sifikirii kuajiliwa maana nataka niwe tajiri najua nikiajiliwa sitakuwa tajiri
   
Loading...