AsanteAll the best
Weka picha yako tukuone ebuMimi naitwa Doris Gabriel naishi Dar Nina certificate ya front office and customer care and telephone operating system.nilifanya field Dodoma Hotel,Serena Hotel, Strategies insurance,ninaomba kusaidiwa kupata kazi pia hata isipopatikana yenye taaluma yangu ila naweza kafanya Kaz nyingine pia hata zikipatikana za kusafiri na magari ya mikoani pia nitafanya Kama mhudumu naweza kuudumia wateja naomben msaada wenu nitashukuru mkinisadia Mungu awabariki, Asanteni
Na umri pia hajatajaWeka picha yako tukuone ebu
Amina AsanteMungu yupo.
Usikate tamaaa.
Nafasi yako ipo tu sehemu.
#YNWA
Kampuni ya mabasi ya Baraka yametoa nafasi za uhudumu wa mabasi vigezo awe mwanamke mwenye muonekano mzuri, awe na professional ya customer care, jaribu kuombaMimi naitwa Doris Gabriel naishi Dar Nina certificate ya front office and customer care and telephone operating system.nilifanya field Dodoma Hotel,Serena Hotel, Strategies insurance,ninaomba kusaidiwa kupata kazi pia hata isipopatikana yenye taaluma yangu ila naweza kafanya Kaz nyingine pia hata zikipatikana za kusafiri na magari ya mikoani pia nitafanya Kama mhudumu naweza kuudumia wateja naomben msaada wenu nitashukuru mkinisadia Mungu awabariki, Asanteni
Hahaaa maswali yako sasa,Mleta mada una mume au watoto au mpenzi?
Kama mwajiri lazima nimfahamu vyema mtafuta kazi.Hahaaa maswali yako sasa,
Ila mbona field ulifanya hotel kubwa kubwa, ulikosaje kosaje connection maana connection huanzia field.
Ndio Nina mtoto mmojaMleta mada una mume au watoto au mpenzi?
Serena Hotel mnakuta mnaofanya field sio chini ya watu 100 pia Dodoma Hotel sikuweza kuajiliwa maana nilianza kufanya field Dodoma Hotel,ilitakiwa nikimaliza nikanye field nyingine Serena Hotel na strategies nilipofanya field walinipenda hivyo wakanichukua Kama tempo kuna mtu alikuwa likizoHahaaa maswali yako sasa,
Ila mbona field ulifanya hotel kubwa kubwa, ulikosaje kosaje connection maana connection huanzia field.
Ni kweli ila wengine wanatumia tofautiUnaandika tangazo bila namba za simu watu wanakupataji??? Naomba nitafute
Asante nashukuru na hizo ndio namba zaoJaribu kutuma CV yako kwa hawa jamaa wanajiita Tongemills huko instagram nimeona kama wanatafuta watu - 0754896666
Asante nashukuruMungu yupo.
Usikate tamaaa.
Nafasi yako ipo tu sehemu.
#YNWA