Chibadya
New Member
- Mar 24, 2019
- 3
- 1
Habari zenu wanajukwaa?
Natumaini mko poa sana.
NAITW MUSSA NAISHI UKONGA BANANA.
ELIMU YANGU NI DEGREE
Natafuta kazi wadau iwe ya
1.KUUZA DUKA
2. VIWANDANI
3. kwa makampuni.
Au kazi yoyote wadau,, itakayonipatia kipato cha kukidhi mahitaji yng kasoro ya ulinzi tu.
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.
Natumaini mko poa sana.
NAITW MUSSA NAISHI UKONGA BANANA.
ELIMU YANGU NI DEGREE
Natafuta kazi wadau iwe ya
1.KUUZA DUKA
2. VIWANDANI
3. kwa makampuni.
Au kazi yoyote wadau,, itakayonipatia kipato cha kukidhi mahitaji yng kasoro ya ulinzi tu.
NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.