Natafuta kazi

Natafuta kazi

miss chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2019
Posts
303
Reaction score
660
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uondoe namba yako ya simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho mapema nitakupigia kuhusu hili la kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo dodoma nimemaliza chuo cha mipango natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia Kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoa namba hiyo, acha ushamba, unataka kujiongezea matatizo, alie serious atakuja dm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Nitakutafutia kazi mwanangu, usichoke kuomba
 
Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma nimemaliza chuo cha Mipango, natafuta kazi kwa yeyote anayehitaji mdada wa kazi au aliyesikia kuna mdada wa kazi anatafutwa sehemu naomba anijulishe nipo tayari kufanya kazi yeyote ile itakayoniingizia kipato, kwa anayehitaji namba zangu ni 0679484825

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na picha kabisa,pamoja na umri maana wengine tunatafuta house girls kazuri zuri .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom