Natafuta kazi

Dizzoy

New Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
1
Reaction score
0
naitwa Davizi Niko kahama mjini maeneo ya Nyasubi
Nina miaka 20 natafta kazi yeyote elimu yangu ni kidato Cha nne 3 ya 25
Namba zangu 0626644765
 
Mbona kazi zipo tu tena nyingi sana, tatizo vijana walio waengi wanajua kazi ni mpaka uajiriwe serikalini, unaweza wewe mwenyewe ukajitengenezea ajira na ukawaajiri wengine.
Kama una nia kweli nitafute kwa namba
0714452555
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…