mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,229
- 13,941
Hii ilikuwa utani tu mdogo wangu.Blaza maliza hii usiifanye big deal. Usitafute recognition kupitia post yangu. U know nothing kuhusu uzalendo.
Akili haunaHii ilikuwa utani tu mdogo wangu.
Siwez kutafuta recognition eti kwa kupitia wewe.Ili nifaidike nini kwa mfano?
Wewe una akili gani kwa mfano?wewe si mwanamke tu kwanguAkili hauna
Basi ndugu yangu nilichukulia vingine tusameheane. Tusonge mbele.Hii ilikuwa utani tu mdogo wangu.
Siwez kutafuta recognition eti kwa kupitia wewe.Ili nifaidike nini kwa mfano?
Kaka basi yaishe. Sisi sote wanajamvi.Akili hauna
Kaka tuyamalize yameshaisha msifike huko. AsanteWewe una akili gani kwa mfano?wewe si mwanamke tu kwangu
Dogo hapa jf wametangaza kazi jaribu hata INTERN kwa kuanziaMimi ni mhitimu wa chuo nina degree ya uhasibu kijana wa miaka 27. Nimehitimu pia mafunzo ya kijeshi na kulitumikia jeshi kwa miaka mitatu na sikubahatika kupata ajira. Natafuta kazi ya aina yoyote bila kuzingatia taaluma. Ntaanzia chini kuelekea juu. Ninaweza kufanya kazi mazingira yoyote. Kama utahitaji vielelezo vyangu. 0689870819 Naombeni msaada wenu wanajukwaa
Nimeziona bro na nimeshaapply nimefika vigezo vya post kama 2 hivi. Asante sanaNb: deadline 27.7.19
Me too!Nimeziona bro na nimeshaapply nimefika vigezo vya post kama 2 hivi. Asante sana
I got employedHii ilikuwa utani tu mdogo wangu.
Siwez kutafuta recognition eti kwa kupitia wewe.Ili nifaidike nini kwa mfano?
Hongera mkuu.... mvumilivu hula mbivuI got employed
Nashukuru sana brotherHongera mkuu.... mvumilivu hula mbivu
Nimeajiriwa hapo tu inatoshaUmepata wap kitengo????