Natafuta Kazi

Hahaah mkuu nisaidie mimi basi...nimeona ID yako nimekumbuka ule uzi wa TRA kipindi kile 2017 watu full kutupiana madongo
 
Habari mimi ni mschana wa miaka25 naishi dar nilliishia kidato cha nne baadae nikasoma tour guiding natafuta kazi dar iwe ni ya duka au supermarket Niko tayari
njoo pm nitumie picha nikuthaminishe kama unafaa .kuna kaz inahitaj mtoto mzur kuvutia clients
 

Humu wako watu wanaojielewa wanaojua wanataka. Nini na wanaoweza kuchanganua mambo kwenye hii post wapo wanaojibu vzr wapo wanaojibu vby . So who ever will understand Sawa he or she will help
 
Okay guys nimeandika hii post just to know if there still people who can help without judging atlst try, mwaka jana kuna dada alikua anatafuta kaz huku watu walimuatak na maneno sn nilichukua no yake nikamsaidia infact niko nae mpk sasa kwenye kutafuta kaz ni mtu anashida na hela na muajiri anashida na mfanyakazi so vinategemeana co kwamba one is better than the other .karibuni I have a micro finance office tunakopesha vikund na nk.pia ujasiriamali kwa mahitaji ya cake aina zote unaweza kunitafuta kwa dar
 
You mean the post is not serious?
 
Mkuu zingatia rule number 9[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] JF milele
 
Mimi nafikiri mkuu kwa age yako still ni kijana ambaye unaweza kuinuka hapo ulipo....

Embu jaribu hili huwenda likakufaa, jaribu kutembelea maeneo mbalimbali na uangalie ni kitu gani ambacho unaweza kufanya na kikakuingizia chochote mfano... Unaweza pita ukakuta eneo lina msongamano mkubwa na mwingiliano mkubwa pia wa watu ukaangalia ni nini ukiweka unaweza pata chochote daima mwanzo waweza kuwa mgumu but trust me you can....

Pia jaribu kutengeneza marafiki wa karibu wa faida ambao unaweza kuwa tumia either wakakupa idea au wakawa chanzo cha kukutoa hapo ulipo ili ufikie lengo.

Kingine jitahidi sana na ujaribu kuacha kuchagua chagua kwamba mimi nataka hichi na si hichi.... Kikubwa fanya chochote bila kuangalia jamii inakuonaje au wanakuchukuliaje kwasababu tambua, maisha ni uchaguzi wako na hakuna anayeweza kuplay part katika uchaguzi huo....

Kikubwa jipe moyo inuka fanya chochote au fanya kazi yeyote bila kuangalia elimu au muonekano wako....

KUTOKA NI LAZIMA MUHIMU KUJIKUBALI NA KUJIAMINI KATIKA KILE UNACHODHAMIRIA KUFANYA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…