Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

STILL BELIEVE

Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
9
Reaction score
4
Habari wanajamii forum.Nimekuja jamvini natafuta kazi.naomba msaada kwa mtu yeyote ambae anafahamu sehemu ambapo kuna kazi maybe tupeane michongo..mana nimetuma application hadi nimechoka

Profession: Mhasibu
Level of Education: Advanced diploma in accountancy

Nilikua muajiriwa kwenye kampuni binafsi niliachishwa kazi mwaka jana mwezi wa nane sababu tu ya ujauzito,sasa nimelea mwanangu angalau kasogea now natafuta kazi naomba msaada wenu ndugu zangu mana nna hali ngumu mno.Kazi yeyote ntafanya kama nilivyosema professionally ni muhasibu,nilikua mhasibu msaidizi kwenye hio kampuni lakini kwa hali ngumu nlokua nayo niko tayari kufanya kazi yeyote halali mradi mkono uende kinywani.
Kwa mawasiliano here is my email address: nmgahi@gmail.com
Nashindwa kuweka namba ya simu sababu naogopa isije ikatumika vibaya.
Kwa yeyote mwenye kuguswa kunisaidia anaweza kunicheki dm.Asanteni na Mungu awabariki sana.
 
Ofisi yoyote ile muhasibu ni mtu muhimu kama kweli umebobea kwenye mahesabu,andaa cv na barua pamoja na nakala ya vyeti vyako,peleka /sambaza kila ofisi,shule,kampuni mbalimbali n.k utaona mafanikio
 
Ofisi yoyote ile muhasibu ni mtu muhimu kama kweli umebobea kwenye mahesabu,andaa cv na barua pamoja na nakala ya vyeti vyako,peleka /sambaza kila ofisi,shule,kampuni mbalimbali n.k utaona mafanikio
Asante.Nashkuru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom