Natafuta kazi

Natafuta kazi

Rosieeee

New Member
Joined
Feb 16, 2019
Posts
4
Reaction score
1
Natafuta kazi au internship kwa ajili ya kupata experience ya ujuzi nilosomea .Nina shahada ya tehama nipo tayari kuwa relocate popote.
 
u
Habari zenu wapendwa kama kichwa cha habari kilivyosema.Natafuta kazi yeyote isipokuwa ambayo ni chukizo kwa Mungu nina shahada ya tehama nipo tayari kuwa relocate popote.Nina miaka 26.
uko wapi?
 
Habari zenu wapendwa kama kichwa cha habari kilivyosema.Natafuta kazi yeyote isipokuwa ambayo ni chukizo kwa Mungu nina shahada ya tehama nipo tayari kuwa relocate popote.Nina miaka 26.
Wewe ni jinsi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom