ifix network
Member
- Oct 9, 2018
- 6
- 5
Me ni kijana umri 22yrs mkazi wa DSM, ni muhitimu wa Stashahada ya Information Technology (IT) na CISCO CCNA.
Natafuta nafasi ya kazi yoyote itayoendana na fani yangu katoka taasisi, serikali ata kampuni binafsi.
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa mtu mwenye sifa zinazolandana namimi usisite kunicheki DM.
Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Tanzania.
Asante