Natafuta kazi

Natafuta kazi

mysara2011

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
69
Reaction score
84
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
 
kichwa kisomeke hivi" NATAFUTA KAZI YEYOTE KASORO BAR" Badala ya NATAFUTA KAZI YEYOTE......nawasilisha
 
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
Njoo inbox
 
Vizuri kutafuta kazi mapema ,nashauri anza hata kujitolea sehemu kwene taasisi yoyote bila malipo ukitengeneza vizur cv yako ,,,mwisho kazi zikitangazwa utaingia kwenye ushindani mzur nawale wasio na hizo sifa za uzoefu
 
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
Baby sitter utaweza?
 
Hello Naitwa Steven Audax ni
Business consultant/ public speaker /Entrepreneur
Nitafte kwa Namba 0752085869
 
So sad! Graduate wa Computer science unatafuta kazi utafikiri umegraduate ulinzi wa majumbani! Unatuambia unauzoefu wa sales, na aliyesoma BCom nae asemeje? Shusha cv ya kueleweka, sema unajua kuprogram, network installation, system administration, sema unajua linux server, window server, oracle, mysql n.k hebu tengeneza hata online games utalipwa kwa google ads.
 
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
Enzi za miaka ile tumemaliza shule computer science vijana walikuwa wanapiganiwa sana na makampuni nakumbuka jamaa zangu walilamba kazi BOT, Mobitel, TTCL nk ila Leo computer haina dili hii inatokana na vyuo vingi vya ufundi kufundisha vijana wengi bila mpangilio
 
Mimi ni binti wa miaka 25 nimemaliza bachelor ya computer science mwaka huu.Nimekuja kwenu natafuta nafasi ya kazi yeyote na nina experience katika fani ya cashier na upande wa sales.Nimekuja kwenu na ombi la kusaidiwa nafasi ya kazi yoyote kasoro bar.Natumai mtanisaidia.Ahsanteni.
Kwenye sales jitahidi ujue kuendesha gari na uwe na driving licence utafanikiwa mdogo wangu Hakika Mungu atakuwa upande wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom