Natafuta kazi

alpelpius

Senior Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
120
Reaction score
66
Habari wakuu,

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 20. Nipo kijijini na sina kazi, hivyo kama kuna mtu anaweza kuniajiri nitashukuru, nitampa taarifa zangu muhimu kwa uhaminifu zaidi.

Sifa zangu ni kama zifuatazo=>

1/ Najua mahesabu na Kingereza kidogo
2/ Sina H. I. V
4/ Nina group O+
4/ Mcha mungu nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipata kazi na mimi nipe uliyoiacha! Mimi nina 21,blood AB
 
Kazi Zipo bwanamdogo. Tatizo, we unatwambia up kijijini. Ukija mjini Kuna pakushukia? Je una nauli ya kukuleta mjini? naJe unaye ndugu yeyote mjini? Maan sio nikikutafutia Kazi niwe tena wa kukubeba mazima. Ila kama una mwenyeji nitafute. Namba yangu 0629800089.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uza smartphone yako upate mtaji sio lazm upate kaz mjin

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…