Ntamwomba nani mkuu.? ndo maana mpaka tunafika kujitoa muhanga yametufika shingoniPole dada angu,kazi hizo mshahara wake wa kufikia ni elf 40, kwanini usiombe tu hiyo elf 40, uanze kuuza kuni mtaani kwako,unalangua soko kuu kwa mzigo,then unauza rejareja mtaani kwako
kazi za ndani utaweza?ni pmHabari zenu wana-JF mimi binti wa miaka 24 natafuta kazi za usafi,Kuuza dukani na nyingine yoyote halali.
Kama ukinihitaji kufanya kazi yako Tafadhali Ni Pm
Hujapata mpaka leo?Habari zenu wana-JF mimi binti wa miaka 24 natafuta kazi za usafi,Kuuza dukani na nyingine yoyote halali.
Kama ukinihitaji kufanya kazi yako Tafadhali Ni Pm
Dont you ever get tired then. Utafanikiwa siku mojaNdio mkuu niko serious
Dar es salaamKwan upo mkoa gan??
Kipindi cha mavuno Minoan kimekaribia unaweza ukapiga Kaz Yangu ngumj ukapata MTAJI wa kuuza hata nyanya au nguo za watoto kwenye minada maana WAKULIMA SOON WANAKUWA NA PESA
UPO MKOA GANI NIKULENGESHE KWENYE KAZ NGUMU ZA KIKE,kuvuna maharage kuvuna viazi,kuvuna karaga nk
NI pm nikupe mchongoBado
Ni pm nikupe mchongoDar es salaam
PM meSawa mkuu
nashukuru sana