Natafuta kazi

Natafuta kazi

Redmart

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
11
Reaction score
0
Mm ni binti mwenye miaka 24 elimu ya ni diploma ya ualimu na malezi ya watoto ninajitambua na ninapenda watoto ninatafuts kazi yoyote ya kuniingizia kipato ila iwe inayokubalika na jamii,ikiwa ni kulea watoto nyumbani au vitui sawa,kuuza Duka au viwandani
Niko serious katika hili tusaidiane ktk kujenga taifa na uchumi binafsi
 
Unaishi wapi binti?

Ulishawahi kufanya kazi sehemu yoyote?
 
Niko dar ,sijawahi Fanya kazi sehemu yoyote maana nimemaliza Chuo mwezi wa kumi mwaka 2017
 
Me pia naishi Dar ila nafanya kaz mkoani Geita, huko kuna rafik angu ni mmliki wa shule ya watoto na alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa kama zako, kama hutojal ni PM ukiwa tayar kufanya kaz Geita unaweza kuja nyumban kwangu tukaondoka wote kwa usafir wangu, mpaka mda huu nipo Mbezi
 
Mgegedo huo aiseeee.... bongo ni kutafunana tu... Kula uliwe
 
Me pia naishi Dar ila nafanya kaz mkoani Geita, huko kuna rafik angu ni mmliki wa shule ya watoto na alikuwa anatafuta mtu mwenye sifa kama zako, kama hutojal ni PM ukiwa tayar kufanya kaz Geita unaweza kuja nyumban kwangu tukaondoka wote kwa usafir wangu, mpaka mda huu nipo Mbezi
asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom