Natafuta kazi

Natafuta kazi

Angela kombe

Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
5
Reaction score
2
Naitwa Angela paschal,natafuta kazi yeyote ile,elimu yangu ni ya kidato cha sita, pia niliweza kusoma chuo kikuu lakini sikufanikiwa kumaliza kutokana na maisha kuwa magumu kwahiyo apaa Nina matokeo ya chuo ya semester 4(bachelor degree of arts with education) kwahiyo nahitaji kazi ambayo itanifanya niweze kupata ada kwa ajili ya kumalizia masomo yangu
 
Naitwa Angela paschal,natafuta kazi yeyote ile,elimu yangu ni ya kidato cha sita,
Maelezo yako hayajitoshelezi,jieleze vizuri naamini unaweza kusaidiwa kama ni kirudi shule ama kazi halali ama mtaji.Ila kwa maelezo yako please kuwa makini na social networks unaweza kuja chezewa ukabwagwa.
Kama ni kazi yoyote ata kujiuza ni kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom