sheby electroner
Member
- Jul 19, 2017
- 26
- 4
Natafuta kazi ya wiring ya umeme jamani msaada mimi ni fundi umeme. 0621058954
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamanisha wiring instollation kwnye majumba ya watu hata maviwanda uyo ni fundi umeme..
instollation - installationAnamanisha wiring instollation kwnye majumba ya watu hata maviwanda uyo ni fundi umeme..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa stahili hyo , ashatia mashaka kama hata kuelezea kazi yake ni tatizo , kazi ataweza kweli , au saidia fundi ,?Anamanisha wiring instollation kwnye majumba ya watu hata maviwanda uyo ni fundi umeme..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo kivitendo zaidi!Kwa stahili hyo , ashatia mashaka kama hata kuelezea kazi yake ni tatizo , kazi ataweza kweli , au saidia fundi ,?
Sent using Jamii Forums mobile app
kama una kazi ww jaribu kumpaKwa stahili hyo , ashatia mashaka kama hata kuelezea kazi yake ni tatizo , kazi ataweza kweli , au saidia fundi ,?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ili uaminike lazima ujijue , naujue taaluma yako ina itwaje ,ili mteja akuelewe ,Watu bhana mnahoji spelling kuliko kazi