Mimi ni binti, umri miaka 24,kwa upande wa elimu nimemaliza diploma mwaka huu mwezi wa 6 chuo cha utumishi wa umma nimesomea fani ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka
Kwasasa ninavyeti viwili cha level 4 na 5 level 6bado havijatoka ninatafuta kazi yoyote kwa sasa nikisubiri cheti changu nipo dar es salaam, na nipo tayari kufanya kazi dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uje
(inbox)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasasa ninavyeti viwili cha level 4 na 5 level 6bado havijatoka ninatafuta kazi yoyote kwa sasa nikisubiri cheti changu nipo dar es salaam, na nipo tayari kufanya kazi dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi naomba uje
(inbox)Sent using Jamii Forums mobile app