Upo mkoa gani?
Una miaka mingapi?
Mawasiliano?
Umemaliza masomo mwaka gani?
Chuo gani?
Kazi gani walau mbili ungependa zaidi?
(Maswali ya ziada)
Je umejiunga jamii forums kwa ajili ya shida tu au ?
Rejea
Mwanamke mwema popote ulipo.
Kwanini ulikuwa unatafuta mke huna hata Kazi?