jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,866
- 10,163
habarini wana jamii forum,mimi ni kijana wa umri wa miaka 24,elimu yangu ni diploma ya hr,nlikuwa natafut kazi/ajira hata kama haifanani na fani niliyosomea unaweza kuntfuta kkupitia,0659756647,ahsanteni
dunia ya sasa ukiwa na career moja unakufa njaa...Unataka kufanya hata kazi ambayo hujaisomea? Are you that genius?
hr means human resourse manager but course HUMAN RESOURSE MANAGEMENT wazee wa uhakiki wa majina vyeti feki na waajiri kwa kifupi ndo navyo jua ama afisa rasilimali watu.samahan mkuu umeiacha kidogo.. diploma ya hr ndo ipi... kuuliza sio ujinga!
ndo maana nataka nifanye hata kaz nyngne kama ntapta ili npate uzoefdunia ya sasa ukiwa na career moja unakufa njaa...
ndugu kazi ni uzoefuUnataka kufanya hata kazi ambayo hujaisomea? Are you that genius?
sjakuelewa mkuu kontena la makinikia ndo lipi hlo?Tafuta wanaume wa kazi muunde timu mkapige kontena moja la makinikia muuage umasikini.
Potezea comments za wendawazimusjakuelewa mkuu kontena la makinikia ndo lipi hlo?