Ushauri mzuri sana huu! Nillitaka kusema kitu hicho hicho... ajenge jina awe freelancerKwanini usianze mdogo mdogo kwa toolbox yako nyumbani au mtaani kwenu kutengeneza magari yenye matatizo madogo na badaee ukawa mkubwa na kuwa na ofisi yako?
Au jiunge na marafiki mafundi kma day worker utafute jina ndugu.
Mkuu kazi gani?Mim ni fundi magari mzuri, nina elimu ya juu kuhusu magari.
Nina uwezo wa kutumia mashine yoyote ya diagnostic
Natafuta ajira, kwa mtu yeyote aliyeko interested kuajiri fundi wa kisasa ani PM
Samahani kwa kuweka post hii humu,,,ila ni maisha tu
Wazo zuri,,,ila mtaji tatizoKwanini usianze mdogo mdogo kwa toolbox yako nyumbani au mtaani kwenu kutengeneza magari yenye matatizo madogo na badaee ukawa mkubwa na kuwa na ofisi yako?
Au jiunge na marafiki mafundi kma day worker utafute jina ndugu.
Unaanza kwa kujishikiza kwa washikaji tu then weka malengo yako ya kuanza kununua hivyo vifaa mdogo mdogo. Kuna simple diagnostic tools zipo eBay hadi dola 80 (200000/=) unapata.Wazo zuri,,,ila mtaji tatizo
Kupata uwanja na vifaa