Natafuta kazi

wiser1

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
2,525
3,843
Habari wakuu

Jamani mimi natafuta kazi mbali na kazi za ndani zilizobakia na kazi halali yoyote naweza fanya ndani ya mkoa wa kilimanjaro (hasa moshi mjini)

Nina degree ya uchumi wa biashara na diploma ya uhasibu wa ushirika.

Nahitaji kazi, mie ni jinsia ya kike

Asanteni.
 
hata hamjaelewa!....mbali na kazi za ndani,zilizobaki zote ziwe halali mi nafanya
 
daaa, pole dada angu, mungu akujalie utapata tuu,,, napata sana changamoto navoona hv nami npo chuo.
 
Ku
degree ya uchumi alafu bado unasubiri kuajiriwa mkuu? anza kujiajiri huku unatafuta kazi, itafika muda utakua unapiga hela hadi hiyo kazi utakua huitaki tena.
kujiajir sio mchezo kaka kwanza uwe na idea pili uwe na mtaj hivyo vikubwa sasa kama unakimoja unajiajil vip
 
degree ya uchumi alafu bado unasubiri kuajiriwa mkuu? anza kujiajiri huku unatafuta kazi, itafika muda utakua unapiga hela hadi hiyo kazi utakua huitaki tena.
hii kauli ya jiajiri hii!...itizame kwa jicho la nne,nijiajiri nawakati hata elfu hamsini ya kuanza hata kuchoma maandazi sina?

Nikopeshe mtaji nipige kazi,tafadhali.
 
Ku
kujiajir sio mchezo kaka kwanza uwe na idea pili uwe na mtaj hivyo vikubwa sasa kama unakimoja unajiajil vip
ulichosema uko sawa mno!..nina idea zipo na nishaziweka ktk maandishi, natafuta fund imekuwa ngumu kupata
Nahitaji kazi kwa mwaka mmoja tu nifanye miradi yangu.

Tatizo mtu akiona unatafuta kazi anaona km hujatumia vizuri fikra zako, najua na ninaiman ntapata kazi hapa hapa kuna watu wataniita nifanye kazi nao.

Nafanya mambo ya research pia,kuandika project, najua kupika vitafunwa aina nyingi.

Tatizo langu mtaji, sina mtu ambaye anaweza nipatia pesa..Nahitaji kazi nipate jasho langu nianze miradi yangu
 
hii kauli ya jiajiri hii!...itizame kwa jicho la nne,nijiajiri nawakati hata elfu hamsini ya kuanza hata kuchoma maandazi sina?

Nikopeshe mtaji nipige kazi,tafadhali.
kuna kazi ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanza. ukiuza hiyo smartphone yako ukapata laki 2 tu basi unaweza kuanzisha ka kibiashara chako. tatizo wa tz mnataka muanze na mtaji wa million 10 kwenda mbele
 
Habari wakuu

Jamani mimi natafuta kazi mbali na kazi za ndani zilizobakia na kazi halali yoyote naweza fanya ndani ya mkoa wa kilimanjaro (hasa moshi mjini)

Nina degree ya uchumi wa biashara na diploma ya uhasibu wa ushirika.

Nahitaji kazi, mie ni jinsia ya kike

Asanteni.
Mkuu hauitaji ndoa???
Nataka nikuoe
 
kuna kazi ambazo hazihitaji mtaji mkubwa kuanza. ukiuza hiyo smartphone yako ukapata laki 2 tu basi unaweza kuanzisha ka kibiashara chako. tatizo wa tz mnataka muanze na mtaji wa million 10 kwenda mbele
simu nayotumia niliinunua zaman mno kias kwamba kwasasa nkiuza labda elfu hamsini,imechakaa.

Hebu nipe wazo zuri litakalohitaji laki2 nianze kukopa ama kuongea na watu
 
Wewe mwenyewe hapo utakuta umeajiriwa... Wabongo kwa ujuaji bana
ok lets say nimeajiriwa. so it means nipo financially stable. huyu analalamika hana ajira, mie kumpa ushauri wa kujiajiri siruhusiwi kisa tu mie nimeajiriwa?. aisee kweli wa Tz tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom