Natafuta kazi

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
843
wakuu habari natumaini wazima
mimi nikijana mwenye tatizo la usikivu kidogo (uziwi) ila ninaongea na kuweza kuwasiliana na mtu na usijue kama ni kiziwi kweli umri wangu miaka 24 elimu yangu ya form four pamoja na ufundi wa umeme wa majumbani(electrical installation) mwenye cheti cha national vocation award (nva i\vc i) nina uzoefu mzuri sana wakufanya wiring maofisini majumbani na viwandani napatikana dar es salaam pia na tanga natafuta kazi katika kampuni yoyote ile nipo teyari kufanya kazi mkoa wowote katika mazingira yoyote
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom