Natafuta kazi

usimkatishe tamaa hiyo ni njia ya kutokea huna uzoefu huna mtaji utajiuza!? jibu ni no kafanye kazi ukipata mtaji achana na mishe za kuajiriwa me nimeajiriwa serikalini lakini nna mishe znazoni keep busy
Mkuu nimeku pm
 
mkuu hongera kwa kuajiriwa na kujiajir! mie cmtish namwambia ukipangiwa kwenda vitani ujue kuna risasi za moto ambazo ukileta mchezo unakufa ila ukimaliza vta ukarudi kuna nishani za heshma na kupga pcha na mkuu wa majeshi,
 
hivi azam kwa siku analipa sh ngap kibarua bugurun vs tabata (unga wa ngano vs uhai)
 
kama upo dar ni simple kuzi face ofix viwanda na taasissi huwez kosa ndugu life hili hutakiwi kuchagua mana elimu yenyewe ni kidato cha sita apo huna ujuzi wowote
 
Ok
kama upo dar ni simple kuzi face ofix viwanda na taasissi huwez kosa ndugu life hili hutakiwi kuchagua mana elimu yenyewe ni kidato cha sita apo huna ujuzi wowote
 
peleka cv pale morocco kama upo Dar wanahitajigi wafanyakazi uwe unajua cmpter application prgm kama microsoft word excell na publisher kuelekezwa zaidi nitext 0658825141
Mkuu wanawahitajigi wa kike tu au
 
ukishuka moroco nyuma ya sheli ya bonjour kuna barabara inaelekea mbele hiv nenda nayo au ukifika nyuma ya sheli ulizia ofisi za erolink hata mama ntilie hapo wanaijua kikubwa uwe na cv alaf ujue ngeli na microsoft excell
Erolink si ni recruitment agent
kama matokeo yamekaa vibaya angekuja jukwaani au mambo ya mkopo
 
na hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo
Poa mkuu au ni kwa jinsia ya kike tu
Mkuu mbona umeonyesha moyo sana kuna nn behind the scene
 
Huyo jamaa kakuelekeza sahihi Erolink ukipata kazi customercare Voda ni rahisi kutafuta serikalini wengi wametoka kupitia Erolink
 
na hapo hapo moroco kuna kampuni nyingi sana zinaunganisha na waajiri na nyingine za research ukishafika Erolink nipigie nkuelekeze kampuni nyingine kama infinity communication Repoa intergrated na nyingine nyingi mitaa hiyo hiyo
Hizi kampuni zinafanyaje kazi?? Kuna waliopata kazi kupitia hawa jamaa, naomba elimu kidogo mkuu
 
Ukienda pia nadhani wanakufafanulia kweny terms zao..lakin kwa uelewa wangu mdogo ,,wao ndo wanakulink kweny kampun znazoitaj wafanyakazi mfano lbda customer care voda ila inakua unahesabika hujaajiriwa na voda ila wao..na hata stahiki zako zinapitia kwao ndo ninachojua kwa uchachee
 
Tho mi bado sijafatilia coz nahis sina some qualifications km alizoeleza ndugu yetu...kwamb ujue kiingereza,microsoft word excel na publisher asa hiyo excel na publisher mi cna uzoefu nayo so nikion nimeielewa japo kiudogo ntaenda kuomba..but hope kuna waliopata huko wanawez wakafafanua zaid
 
Wakat naangaika kutafut namna ntapata train ya hiyo excel na publisher still natafuta kazi jmani..kwa walio serious kutoa ushirikiano na msaada.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…