Natafuta kazi

kidadaa

Member
Jul 24, 2014
80
49
Kwa yoyote anayeweza kunisaidia nitashukuru sana maana nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio.
Nina miaka 29
Nina degree ya sheria
Nina experience kama afisa sheria kwenye employees unions
Nina experience kama administration assistance
Naishi Dar
Nipo tayari kufanya kazi popote
 
Kuliko kupoteza muda wako, na uweze kujiongezea ujuzi kaombe hata ya mwezi au miliwi mitatu bila malipo, hapo utaijiinua.
 
Pole ndugu yangu, vuta subira kdgo kuna wale majaji walioshindwa kuamua kesi 200 huenda wakaondoka ofisini na ukapata nafasi.
 
Back
Top Bottom